{"id":37,"date":"2022-03-27T09:43:19","date_gmt":"2022-03-27T09:43:19","guid":{"rendered":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/?page_id=37"},"modified":"2022-03-27T09:43:19","modified_gmt":"2022-03-27T09:43:19","slug":"michezo","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/michezo\/","title":{"rendered":"Michezo"},"content":{"rendered":"\n<h1 class=\"wp-block-heading\">Michezo<\/h1>\n\n\n\n<p>Michezo\u00a0ni\u00a0amali\u00a0au mazoezi\u00a0ya kimwili\u00a0ambayo mara nyingi yana\u00a0ushindani\u00a0ndani yake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika\u00a0jamii.<\/p>\n\n\n\n<p>Michezo ni ya aina nyingi ikiwemo michezo ya juu\u00a0angani,\u00a0majini, kwenye nchi kavu na pia kwenye\u00a0barafu. Watu hushiriki kwenye michezo kushindania\u00a0zawadi, kama aina ya mazoezi au kujiburudisha tu.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuna michezo ambayo huhusisha mwili kama vile\u00a0mbio\u00a0ambazo huwa na vitengo tofautitofauti,\u00a0miereka,\u00a0dodi,\u00a0kareti,\u00a0judo,\u00a0taekwondo, kuruka juu, kuruka urefu, kuogelea n.k.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuna michezo inayohusisha\u00a0akili\u00a0kama vile\u00a0chesi,\u00a0sarantanji,\u00a0bao\u00a0n.k.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuna michezo inayohusisha\u00a0wanyama\u00a0kama vile\u00a0msabaka\u00a0na\u00a0mpira wa polo.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuna michezo inayohusisha\u00a0mashine\u00a0kama vile\u00a0mbio za magari,\u00a0pikipiki,\u00a0baiskeli,\u00a0boti\u00a0na kadhalika.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuna pia\u00a0michezo\u00a0inayotumia\u00a0vifaa\u00a0kama vile\u00a0mipira,\u00a0silaha,\u00a0viatu\u00a0na\u00a0mbao telezi\u00a0(zijuilikanazo kwa Kiingereza kama skating shoes\/roller skates and skating boards) n.k.<\/p>\n\n\n\n<p>Mifano&nbsp;maarufu&nbsp;ya michezo ni&nbsp;mpira wa miguu,&nbsp;mpira wa kikapu,&nbsp;mpira wa mikono,&nbsp;mpira wa magongo, aina za&nbsp;mbio, mashindano ya kuogelea na kadhalika.<\/p>\n\n\n\n<p>Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo.&nbsp;Tabia&nbsp;hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao si kwa kujiburudisha, bali kikazi na kwa&nbsp;malipo, pengine makubwa ajabu.<\/p>\n\n\n\n<p>Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya&nbsp;jamii, makabila&nbsp;au mataifa. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni&nbsp;Michezo ya Olimpiki&nbsp;iliyofanyika awali&nbsp;Ugiriki wa Kale&nbsp;na sasa inafanyika kwa ushiriki wa mataifa yote&nbsp;duniani&nbsp;kila baada ya miaka minne.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa nchi ya\u00a0Tanzania\u00a0michezo inayopendwa sana ni:\u00a0mpira wa miguu,\u00a0riadha,\u00a0mpira wa pete,\u00a0mpira wa wavu; pia kuna hamasa kubwa kwa watu kusoma magazeti\u00a0kuhusu michezo ili kupata dondoo na habari muhimu kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea huko viwanjani.<\/p>\n\n\n\n<p><a href=\"https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Michezo\">https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Michezo<\/a><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Michezo Michezo\u00a0ni\u00a0amali\u00a0au mazoezi\u00a0ya kimwili\u00a0ambayo mara nyingi yana\u00a0ushindani\u00a0ndani yake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika\u00a0jamii. Michezo ni ya aina nyingi ikiwemo michezo ya juu\u00a0angani,\u00a0majini, kwenye nchi kavu na pia kwenye\u00a0barafu. Watu hushiriki kwenye michezo kushindania\u00a0zawadi, kama aina ya mazoezi au kujiburudisha tu. Kuna michezo ambayo huhusisha mwili kama vile\u00a0mbio\u00a0ambazo [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"footnotes":""},"class_list":["post-37","page","type-page","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/37","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=37"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/37\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":38,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/37\/revisions\/38"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=37"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}