{"id":33,"date":"2022-03-25T10:07:25","date_gmt":"2022-03-25T10:07:25","guid":{"rendered":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/?page_id=33"},"modified":"2022-03-25T10:07:25","modified_gmt":"2022-03-25T10:07:25","slug":"usanii","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/usanii\/","title":{"rendered":"Usanii"},"content":{"rendered":"\n<h1 class=\"wp-block-heading\">Usanii<\/h1>\n\n\n\n<p>Usanii\u00a0ni\u00a0neno\u00a0lenye maana pana sana. Kwa kifupi ni\u00a0ubunifu\u00a0wa vitu mbalimbali unaofanana na\u00a0uumbaji.<\/p>\n\n\n\n<p>Mtu anayejishughulisha na usanii huitwa&nbsp;msanii, na kile alichokibuni au kukiumba huitwa&nbsp;sanaa.<\/p>\n\n\n\n<p>Wasanii wengi wanaamini kuwa&nbsp;Mungu&nbsp;ni msanii mkubwa wa kwanza, kwa sababu ndiye aliyeumba vitu vyote, ambavyo wasanii, hasa wa&nbsp;uchoraji, huviiga na kuvibadili kidogo. Hapa ndipo ubunifu unapochukua nafasi katika usanii.<\/p>\n\n\n\n<p>Msanii kupitia vitu anavyoviumba, kama ni&nbsp;picha&nbsp;ya kuchora au&nbsp;muziki, hapo hupata nafasi ya kueleza&nbsp;hisia&nbsp;zake za ndani, k.mf.&nbsp;furaha, au ya wengine,&nbsp;huzuni&nbsp;yake au ya wengine, kuelimisha, au kufurahisha.<\/p>\n\n\n\n<p>Msanii ni mtu muhimu sana katika&nbsp;jamii, kwa sababu kwa njia ya sanaa ni rahisi kufikisha ujumbe kwa watu wengi na kwa wakati mmoja, hasa sanaa ya&nbsp;uimbaji, yaani&nbsp;muziki. Sanaa ya uchoraji inachuka muda kufikisha ujumbe au&nbsp;burudani&nbsp;lakini ni sanaa inayotunza ujumbe au kuvutia kwa muda mrefu zaidi, kwa sababu watu wengi, hasa wa nchi za&nbsp;Afrika, bado hawana mwamko wa sanaa hiyo,ukilinganisha na nchi za&nbsp;Ulaya&nbsp;na&nbsp;Amerika, ambako sanaa hiyo inathaminiwa sana na watu wengi na marika&nbsp;yote.<\/p>\n\n\n\n<p>Tofauti kati ya uimbaji na uchoraji ni kama ifuatavyo:<\/p>\n\n\n\n<p>Ujumbe uliobebwa na usanii wa muziki hupita kwa muda mfupi au mrefu kutegemeana na aina ya muziki huo, kwa sababu watu hupokea aina nyingi za ujumbe kwa wakati mmoja, na pengine wanaweza wasisikilize tena muziki huo na wakasahau kabisa ujumbe ule, lakini sanaa ya uchoraji iliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa, huisahau hudumu kwa miaka mingi sana, hivyo humpa nafasi mhusika kurudia kupata ujumbe kila anapotazama sanaa hiyo.<\/p>\n\n\n\n<p>Hivyo sanaa hiyo pia ni muhimu sana kwa kutunza&nbsp;kumbukumbu, hasa pale msanii anapochora picha inayoonyesha&nbsp;hali&nbsp;halisi ya wakati fulani ambao hupita na watu kusahau, hivyo kwa kutazama picha au mchoro huo watu au jamii hupata kumbukumbu ya jambo au tukio au wakati huo uliopita.<\/p>\n\n\n\n<p>Hii ni maana ya usanii au sanaa kwa kifupi, lakini siku hizi imetokewa na wezi wa maneno au kwa lugha rahisi matapeli\u00a0kuitwa wasanii, kwa sababu wanabuni na kuumba maneno ya udanganyifu na kuyageuza kama ni ya ukweli ilhali si ya ukweli. Hii si sawa kabisa na wasanii wengi wanawataka watu waache kabisa kutumia neno hili kwa watu wa namna hiyo, na watu hao waitwe wezi au matapeli kama inavyofamika.<\/p>\n\n\n\n<p><a href=\"https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Usanii\">https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Usanii<\/a><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Usanii Usanii\u00a0ni\u00a0neno\u00a0lenye maana pana sana. Kwa kifupi ni\u00a0ubunifu\u00a0wa vitu mbalimbali unaofanana na\u00a0uumbaji. Mtu anayejishughulisha na usanii huitwa&nbsp;msanii, na kile alichokibuni au kukiumba huitwa&nbsp;sanaa. Wasanii wengi wanaamini kuwa&nbsp;Mungu&nbsp;ni msanii mkubwa wa kwanza, kwa sababu ndiye aliyeumba vitu vyote, ambavyo wasanii, hasa wa&nbsp;uchoraji, huviiga na kuvibadili kidogo. Hapa ndipo ubunifu unapochukua nafasi katika usanii. Msanii kupitia vitu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"footnotes":""},"class_list":["post-33","page","type-page","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/33","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=33"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/33\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":34,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/33\/revisions\/34"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=33"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}