{"id":27,"date":"2022-03-12T11:53:45","date_gmt":"2022-03-12T11:53:45","guid":{"rendered":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/?page_id=27"},"modified":"2022-03-12T11:53:45","modified_gmt":"2022-03-12T11:53:45","slug":"familia","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/familia\/","title":{"rendered":"Familia"},"content":{"rendered":"\n<h1 class=\"wp-block-heading\">Familia<\/h1>\n\n\n\n<p>Familia\u00a0(kutoka\u00a0Kilatini\u00a0&#8220;familia&#8221;) ni kikundi cha\u00a0watu\u00a0wanaokaa pamoja kama\u00a0baba,\u00a0mama\u00a0na\u00a0watoto. Kikundi hicho mara yingi ni sehemu ya\u00a0kundi\u00a0kubwa zaidi la\u00a0ukoo\u00a0unaounganisha watu wenye asili katika\u00a0uzazi\u00a0wa pamoja.<\/p>\n\n\n\n<p>Aina za familia zinatofautiana&nbsp;duniani&nbsp;kutokana na&nbsp;utamaduni&nbsp;na hali ya&nbsp;jamii.<\/p>\n\n\n\n<p>Katika nchi nyingi za&nbsp;Afrika&nbsp;familia ndogo ya baba, mama na watoto kwa kawaida ni sehemu tu ya familia kubwa zaidi pamoja na&nbsp;ndugu&nbsp;wa baba na mama, akina&nbsp;babu&nbsp;na&nbsp;bibi&nbsp;na kadhalika. Lakini hata Afrika kuna taratibu tofautitofauti kama ni ndugu wa baba au ndugu wa mama wanaotazamiwa kuwa karibu zaidi kwa watoto wa familia ndogo.<\/p>\n\n\n\n<p>Vilevile kuna tofauti kama&nbsp;muundo&nbsp;wa kawaida ni&nbsp;mume&nbsp;mmoja na wake wengi na kila mmoja akiwa na watoto wake tena.<\/p>\n\n\n\n<p>Katika jamii za nchi zilizopita kwenye&nbsp;mapinduzi ya viwandani&nbsp;kama&nbsp;Ulaya&nbsp;na&nbsp;Marekani&nbsp;familia inamaanisha hasa familia ndogo inayokaa pamoja katika&nbsp;nyumba. Ukoo haujapotea lakini umuhimu wake umepungua sana na mara nyingi ni&nbsp;chaguo&nbsp;la watu ndani ya ukoo kama wanapenda kujumuiana na ndugu zao au la.<\/p>\n\n\n\n<p>Katika&nbsp;mazingira&nbsp;ya&nbsp;miji&nbsp;mikubwa au pale ambako koo za&nbsp;kale&nbsp;zimeporomoka na kuachana kuna&nbsp;jumuiya&nbsp;ndogo sana kama mama na watoto ambao ni familia bila baba au&nbsp;wanaume. Aina hii ya familia yenye&nbsp;mzazi&nbsp;mmoja tu imepatikana pia kama familia ya baba na watoto kama utamaduni unamruhusu baba peke yake kulea watoto.<\/p>\n\n\n\n<p>Katika mazingira ya\u00a0umaskini,\u00a0vita\u00a0au mabadiliko ya\u00a0haraka\u00a0sana kuna pia watoto wengi wanaoishi kwa bibi au babu na hata hali hii ni aina ya familia.<\/p>\n\n\n\n<p><a href=\"https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Familia\">https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Familia<\/a><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Familia Familia\u00a0(kutoka\u00a0Kilatini\u00a0&#8220;familia&#8221;) ni kikundi cha\u00a0watu\u00a0wanaokaa pamoja kama\u00a0baba,\u00a0mama\u00a0na\u00a0watoto. Kikundi hicho mara yingi ni sehemu ya\u00a0kundi\u00a0kubwa zaidi la\u00a0ukoo\u00a0unaounganisha watu wenye asili katika\u00a0uzazi\u00a0wa pamoja. Aina za familia zinatofautiana&nbsp;duniani&nbsp;kutokana na&nbsp;utamaduni&nbsp;na hali ya&nbsp;jamii. Katika nchi nyingi za&nbsp;Afrika&nbsp;familia ndogo ya baba, mama na watoto kwa kawaida ni sehemu tu ya familia kubwa zaidi pamoja na&nbsp;ndugu&nbsp;wa baba na mama, akina&nbsp;babu&nbsp;na&nbsp;bibi&nbsp;na kadhalika. Lakini [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"footnotes":""},"class_list":["post-27","page","type-page","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/27","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=27"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/27\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":28,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/27\/revisions\/28"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=27"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}