{"id":23,"date":"2022-03-06T15:14:23","date_gmt":"2022-03-06T15:14:23","guid":{"rendered":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/?page_id=23"},"modified":"2022-03-06T15:14:23","modified_gmt":"2022-03-06T15:14:23","slug":"afya","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/afya\/","title":{"rendered":"Afya"},"content":{"rendered":"\n<h1 class=\"wp-block-heading\">Afya<\/h1>\n\n\n\n<p>Afya\u00a0ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho\u00a0na kiutu\u00a0bila kusumbuliwa na\u00a0ugonjwa\u00a0wowote.<\/p>\n\n\n\n<p>Afya ya&nbsp;binadamu&nbsp;itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani&nbsp;chakula&nbsp;chenye&nbsp;virutubishi&nbsp;vyote, vikiwemo&nbsp;protini,&nbsp;wanga&nbsp;na&nbsp;mafuta&nbsp;(hiyo iwe katika&nbsp;asilimia&nbsp;ndogo sana).<\/p>\n\n\n\n<p>Pia anatakiwa awe msafi mwilini na mazingira yake, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye&nbsp;hewa&nbsp;safi pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili.<\/p>\n\n\n\n<p>Mazingira mara nyingi huchukuliwa kuwa jambo muhimu katika hali ya afya ya binadamu. Hii inajumuisha mazingira ya asili, mazingira ya kujengwa, na mazingira ya kijamii. Pia mambo kama vile maji safi na hewa, makazi salama, huchangia afya nzuri, hasa kwa afya ya watoto wachanga na watoto.[1]<\/p>\n\n\n\n<p>Utafiti umeonyesha kuwa ukosefu wa maeneo ya burudani husabsabisha kupungua kwa afya na ustawi.[2]<\/p>\n\n\n\n<p>Pia anatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya\u00a0Mwenyezi Mungu\u00a0kama vile: kupendana na wengine, kuthaminiana na kuacha\u00a0dhambi: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.<\/p>\n\n\n\n<p><a href=\"https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Afya\">https:\/\/sw.m.wikipedia.org\/wiki\/Afya<\/a><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Afya Afya\u00a0ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho\u00a0na kiutu\u00a0bila kusumbuliwa na\u00a0ugonjwa\u00a0wowote. Afya ya&nbsp;binadamu&nbsp;itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani&nbsp;chakula&nbsp;chenye&nbsp;virutubishi&nbsp;vyote, vikiwemo&nbsp;protini,&nbsp;wanga&nbsp;na&nbsp;mafuta&nbsp;(hiyo iwe katika&nbsp;asilimia&nbsp;ndogo sana). Pia anatakiwa awe msafi mwilini na mazingira yake, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye&nbsp;hewa&nbsp;safi pia husaidia katika kuhifadhi afya [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"footnotes":""},"class_list":["post-23","page","type-page","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/23","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=23"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/23\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":24,"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/23\/revisions\/24"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/7hi7.com\/sw-ke\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=23"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}